الردود العلمية السلفية

Published on 27 January 2025 at 15:28

RUDUUD ZA KIELIMU

RADDUL QAMTWARIYRIY

IKIWA NI SILSILA YA RUDUUD MCHANGANYIKO KUTOKA KWA MADUAATI WA DA'WATU SALAFIYYAH NCHINI TANZANIA DHIDI YA SHUBUHAATI, TALBIYSAATI NA TANAAQUDHWATI ZA MAHIZBI WA KIBARAAMIKA KATIKA MAS-ALA MBALI MBALI YAHUSUYO MANHAJ YA SALAF.

Radd 01

Radd 02

Radd 03

Radd 04

Radd 05

Radd 06

SILSILAH YA RUDUUD KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE:

                          Sikiliza

HII ILIKUWA NI ZIARA YA KIDA'AWAH KWA AJILI KUZIJIBU SHUBHAAT MBALI MBALI ZA MAHZIBI: 

Baadhi Ya Kadhia Zilizoulizwa Na Kujibiwa Ni Kama Zifuatazo:

 

⚪️MAWQIF YA MASALAFI JUU YA WANAWACHUONI.

⚪️SHUBHA YA MAHZIBI WANAPOSEMA KUWA SHAYKH YAHYA AL HAJUURIY (حفظه الله) NA TULLAAB WAKE WA DAMMAJ WANAWATUKANA WANACHUONI, KHAASWA SHAYKH RABI'IY (حفظه الله) KWA KUMUITA ETI NI "KUNGURU MWENYE NUKSI"❗️

⚪️SIKILIZA UBAINIFU WA KIELIMU JUU YA HILO

⚪️CHANZO CHA UHIZBI WA 'ABDULRAHMAN AL- 'ADENIY (رحمه الله).

⚪️MAHZIBI WANASEMA SHAYKH YAHYA AL HAJUURIY (حفظه الله) ANAMTUKANA NA KUMBIDAISHA SWAHAABIYU AL-JALIYL 'UTHMAAN BIN 'AFFAAN "DHINNU-RAYN" (رضي الله عنه)...SIKILIZA UBAINIFU WA KADHIA HII KIELIMU.

ENDELEA KUSIKILIZA FAWAAID ZINGINE KATIKA ZIARA HII.

💺WAHUDHURISHAJI:🎤

Al Akh Abuu Haatim 'Abdullaahi bin Juma'a (حفظه الله ورعاه)

 🔷Pamoja Na:-

💺Al Akh Abuu Rabii Muhammad Bin Abdulrahman (حفظه الله ورعاه).

💺Al Akh Abuu Usaamah Khamiys Bin Ame (حفظه الله ورعاه).

Radd 01

Radd 02

Radd 03

Radd 04

Radd 05

Radd 06

Radd 07

Radd 08

MFULULIZO WA RUDUUD KWA KIJANA MUONGO

NI HUYU KIJANA ASIYEKUWA NA KHOFU JUU YA ALLAAH KWA UONGO WAKE NA MATUSI YAKE DHIDI YA WANACHUONI WA HAQQ NA WATU WA HAQQ KIUJUMLA

🔨 Shaafi'iy bin Mahdi bin Mustwafaa (Allaah Amuongoze

MZUNGUMZAJI:🎤

Ustaadh Abuu Haatim 'Abdullaahi bin Juma'a (حفظه الله ورعاه)

 

Radd 01

Radd 02

Radd 03

Radd 04

Radd 05